fbpx
What can we help you with?
< All Topics

Je, ni lazima nilipe ushuru kwa ushindi wangu?

Chini ya sheria ya Kenya, ushindi wote wa bahati nasibu utatozwa ushuru wa zuio wa 20%. Hiyo ina maana kwamba mwendeshaji wa bahati nasibu (sisi) lazima achukue 20% kati ya kila ushindi na kuilipa kwa KRA, na 80% iliyosalia pekee ndiyo itakayolipwa kwa washindi.
Katika LottoPawa, utafurahi kujua kwamba tumeamua kwamba tutalipa ushuru wa zuio wa 20% kwa washindi WOTE wadogo (yaani kwa walioshinda chini ya KSH 20 milioni).
Inamaanisha kwamba, isipokuwa ukishinda moja ya zawadi mbili za juu (unaweza kufikiria!?), utapata tuzo kamili na tutakulipa ushuru.
Ikiwa tu mchezaji atashinda tuzo ya daraja la kwanza ya KSH 200 milioni, au tuzo ya daraja la pili ya KSH 20 milioni, itatubidi tutoe ushuru wa zuio wa 20% kwanza, na kumlipa mteja iliyosalia. Ndivyo ilivyo… lakini tunafikiria utakuwa na mambo ya anasa zaidi ya kujisumbua nayo!
Kodi ya zuio ndio ushuru pekee wa ushindi wa bahati nasibu. Hutalazimika kulipa ushuru wowote wa ziada kwa ushindi wa bahati nasibu – kwa hivyo unaweza kuchukua vifurushi vyako vya pesa na kuzitumia upendavyo!

Table of Contents