fbpx
What can we help you with?
< All Topics

LottoPawa itasaidiaje Jamii?

LottoPawa itatumia 25% ya faida ya bahati nasibu kwa mashirika mbalimbali ya misaada nchini Kenya. Lengo letu ni elimu, ustawi wa watoto, miradi ya maji na miradi ya kilimo kwa jamii ndogo.
LottoPawa itajitahidi kuweka gharama za usimamizi kwa vipengele vya usaidizi kwa kiwango cha chini kabisa, ili sehemu kubwa zaidi ya 25% ya faida yetu iweze kutumika inapostahili!

Table of Contents