fbpx
What can we help you with?
< All Topics

Nilishinda katika moja ya michezo ya bonasi, nini kitafuata?

Unaweza kusherehekea mara moja! Ushindi wote wa mchezo wa bonasi isipokuwa zawadi kuu zitawekwa kwenye akaunti yako ya mchezaji wa LottoPawa. Unaweza kutumia fedha hizo kununua tikiti za bahati nasibu ya LottoPawa, au unaweza kuzitoa (kamili au sehemu tu ya pesa) kwenye akaunti yako ya M-PESA

Table of Contents