fbpx

Tutalinganisha michakato tofauti inayo patikani humu nchini Kenya.

Kuna zaidi ya mchakato mmoja unaoweza upata hapa nchini Kenya. Je, umelinganisha huduma ambazo wanazitoa? Waweza kupumzika, tulifanya utafiti, na baada ya mazingatio kwa uangalifu, tuliamua kwamba LottoPawa itakuwa tofauti.

Kitu kimoja ambacho hatukukipenda na michakato mingine ni jinsi amabavyo kwa mara nyingi hawana uwazi kuhusu mambo ambayo yana umuhimu kama kiasi gani waweza kujishindia ama uwezekano wako wa kuweza kuibuka mshindi katika mchakato ni upi. Hizi ni dalili nzuri ya mchakato ambao wafaa kuuamini?

Katika Lottopawa, hizo habari na zingine utakazohitaji zinapatikana kwa urahisi, kwa mfano hapa kwa ukurasa wa tovuti tulichapisha orodha ya viwango vinavyoshinda.

Lakini kwa umuhimu zaidi, umezindua jinsi hiyo michakato mingine wanatangaza zawadi kubwa za juu, kama KSh milioni 50, milioni 100, au hata milioni 200 juu ya tovuti zao? Inaonekana nzuri? Lakini ukichunguza kwa makini, utagundua kwamba tikiti ya kawaida kwa bei ya KSh 50 inaweza tu kushinda sehemu ndogo tu ya tuzo hiyo kuu. Kwa kweli, ili kushinda zawadi kamili kama inavyotangazwa, unapaswa kuweka bei ya tikiti yako kuanzia KSh 1000!

Ingawa, wachezaji wengi hawana ufahamu wa hilo. Lottopawa, kwa upande mwingine, tunaona kwamba hii sio dhana nzuri katika Sekta ya Kubeti, bahati na michezo. Kwa hivyo kwenye LottoPawa, kila tikiti inagharimu zawadi sawa kwa KSh 60. Na kila tikiti inaweza kushinda KSh 200 milioni kamili, au daraja la pili la KSh 20 milioni. Huhitaji kutumia KSh 1000 ili kushinda tuzo hilo kuu.

Sasa hebu tulinganishe malipo ya LottoPawa dhidi ya chapa zingine.

Wacha nikupe mifano miwili tu:

Mfano namba 1: Hebu tuangalie moja ya bahati nasibu kongwe nchini Kenya (kwa sababu za wazi, hatuwezi kuwataja hapa). Wana muundo sawa na LottoPawa, yaani 6 kati ya 49 (lakini hakuna nambari ya ziada kama Pawa number). Kwa hivyo uwezekano wa kulinganisha nambari 6 kati ya 49 kwenye tikiti yako ni sawa na kuwa katika daraja la pili kwa zawadi ya LottoPawa.

Lakini wakati LottoPawa inalipa zawadi ya KSh 20 milioni unapolinganisha 6 kati ya 49 na tikiti yako ya bahati nasibu ya Ksh 60, Chapa hiyo nyingine wanakulipa mara 25,000 pekee ya bei ya tikiti yako.

Kwa hivyo ikiwa ungetumia KSh 60 kwa tikiti huko, ungejishindia KSh 1.5 milioni. Ilhali huku LottoPawa, ungejishindia KSh 20 milioni. Katika visa vyote viwili, ulilipa kiasi sawa cha pesa kwa tikiti yako ya bahati nasibu, na pia nafasi za kihisabati za kufaulu ni sawa kabisa katika chaguzi zote mbili!

Mfano namba 2: Ukiangalia zawadi ndogo unazoweza kushinda. Utagundua kuwa hata hizo zawadi ndogo kule ni kubwa zaidi unapocheza LottoPawa. Kwa jambo la kweli, katika moja ya bahati nasibu nyingine (ambayo ni maarufu zaidi hapa nchini), kwa sare kuu ya ushindi (main draw) inayokua na tuzo kubwa zaidi wanalotuzu, hakuna viwango vingine vya kushinda, isipokuwa tuzo ya juu! Inavyomaanisha ni kwamba, ikiwa una nambari 4 au 5 tu, haushindi chochote!

Katika LottoPawa, tuna viwango 8 vya zawadi, na ili kushinda zawadi za chini kabisa za KSh 200, unapaswa tu kulinganisha nambari kuu tatu za sera (draw), au nambari kuu mbili na Pawa number.

Hitimisho

Tunapendekeza uangalie kwa karibu bahati nasibu (lotteries) unazofikiria kucheza. Kama utakavyoona wazi, unapata thamani bora zaidi ya pesa zako kutokana na kununua tikiti ya LottoPawa, ikilinganishwa na bahati nasibu nyingine yoyote hapa Kenya.

 

Nunua tikiti ya lottery Kenya

Lottery bora zaidi nchini Kenya kununua tikiti ya lottery | Nafasi bora za kushinda Lotto

LottoPawa inakupa nafasi bora za kushinda.

ONYO!- usinunue tikiti ya bahati nasibu bila kulinganisha bei ya tikiti na malipo ikiwa utashinda!